Yeremia 12:4 BHN

4 Mpaka lini nchi itaomboleza kwa ukame,na nyasi za mashamba yote kunyauka?Wanyama na ndege wanakufa kwa uovu wa wakazi wake;wanasema: “Mungu hataona mwisho wetu.”

Kusoma sura kamili Yeremia 12

Mtazamo Yeremia 12:4 katika mazingira