Yeremia 13:16 BHN

16 Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,kabla hajawaletea giza,nanyi mkajikwaa miguu kwenye milima ya giza.Nyinyi mnatazamia mwanga,lakini anaugeuza kuwa utusitusina kuufanya kuwa giza nene.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:16 katika mazingira