Yeremia 13:17 BHN

17 Lakini kama msiponisikiliza,moyo wangu utalia machozi faraghani,kwa sababu ya kiburi chenu.Nitalia kwa uchungu na kububujika machozi,kwa kuwa watu wa Mwenyezi-Mungu wametekwa.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:17 katika mazingira