Yeremia 13:18 BHN

18 Mwambie mfalme na mama yake hivi:“Shukeni kwenye viti vyenu vya enzi,maana taji zenu nzuri zimeanguka vichwani mwenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:18 katika mazingira