Yeremia 13:19 BHN

19 Miji ya Negebu imezingirwa;hakuna awezaye kufungua malango yake.Watu wa Yuda wamechukuliwa mateka,wote kabisa wamepelekwa utumwani.”

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:19 katika mazingira