22 Nawe utajiuliza moyoni mwako,“Kwa nini mambo haya yamenipata?”Sawa! Kama vazi lako limepandishwa juu,nawe ukatendewa kwa ukatili mno,hayo ni matokeo ya makosa yako mengi mno.
Kusoma sura kamili Yeremia 13
Mtazamo Yeremia 13:22 katika mazingira