Yeremia 13:21 BHN

21 Utasemaje juu ya wale uliodhani ni rafiki,wale ambao wewe mwenyewe uliwafundisha,watakapokushinda na kukutawala?Je, si utakumbwa na uchungukama wa mama anayejifungua?

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:21 katika mazingira