25 Mwenyezi-Mungu asema:“Hayo ndiyo yatakayokupata,ndivyo nilivyoamua kukutenda mimi Mwenyezi-Mungu,kwa sababu umenisahau mimi,ukaamini miungu ya uongo.
Kusoma sura kamili Yeremia 13
Mtazamo Yeremia 13:25 katika mazingira