Yeremia 13:6 BHN

6 Ikawa, baada ya siku nyingi, Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Nenda kwenye mto Eufrate, ukakichukue kile kikoi nilichokuamuru ukifiche huko.”

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:6 katika mazingira