Yeremia 13:7 BHN

7 Basi, nikaenda kwenye mto Eufrate, nikachimbua na kukitoa kile kikoi mahali nilipokuwa nimekificha. Nilipokitoa, nilishangaa kukiona kuwa kilikuwa kimeharibika kabisa; kilikuwa hakifai tena.

Kusoma sura kamili Yeremia 13

Mtazamo Yeremia 13:7 katika mazingira