Yeremia 15:11 BHN

11 Haya basi, ee Mwenyezi-Mungu, acha laana hizo nizipate kama sijakutumikia vema na kama sikukusihi kwa ajili ya maadui zangu wakati walipokuwa katika taabu na shida!

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:11 katika mazingira