Yeremia 15:10 BHN

10 Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa! Mimi nimekuwa mtu wa ubishi na ugomvi nchini pote! Sijapata kukopesha mtu wala kukopeshwa na mtu, lakini kila mtu ananiapiza.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:10 katika mazingira