Yeremia 15:9 BHN

9 Mama aliyesifika kuwa na watoto saba;sasa ghafla hana kitu.Ametoa pumzi yake ya mwisho,jua lake limetua kukiwa bado mchana;ameaibishwa na kufedheheshwa.Na wale waliobaki hai nitawaachawauawe kwa upanga na maadui zao.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:9 katika mazingira