Yeremia 15:8 BHN

8 Wajane wao wamekuwa wengikuliko mchanga wa bahari.Kina mama wa watoto walio vijananimewaletea mwangamizi mchana.Nimesababisha uchungu na vitishoviwapate kwa ghafla.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:8 katika mazingira