Yeremia 15:15 BHN

15 Nami nikasema: “Lakini wewe Mwenyezi-Mungu wajua;unikumbuke na kuja kunisaidia.Nilipizie kisasi watesi wangu.Wewe u mvumilivu, usiniache niangamie;kumbuka kuwa ninatukanwa kwa ajili yako.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:15 katika mazingira