Yeremia 15:16 BHN

16 Mara maneno yako yalipofika, niliyameza;nayo yakanifanya niwe na furaha,yakawa utamu moyoni mwangu,maana mimi najulikana kwa jina lako,ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:16 katika mazingira