Yeremia 15:18 BHN

18 Kwa nini mateso yangu hayaishi?Mbona jeraha langu haliponi,wala halitaki kutibiwa?Ama kweli umenidanganya,kama kijito cha maji ya kukaukakauka!”

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:18 katika mazingira