Yeremia 15:19 BHN

19 Mwenyezi-Mungu akajibu:“Kama ukinirudia nitakurudishia hali ya kwanza,nawe utanitumikia tena.Kama ukisema maneno ya maana na sio ya upuuzi,basi utakuwa msemaji wangu.Watu watakuja kujumuika nawe,wala sio wewe utakayekwenda kwao.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:19 katika mazingira