Yeremia 15:20 BHN

20 Mbele ya watu hawa,nitakufanya ukuta imara wa shaba.Watapigana nawe,lakini hawataweza kukushinda,maana, mimi niko pamoja nawe,kukuokoa na kukukomboa.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:20 katika mazingira