Yeremia 15:2 BHN

2 Na wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ wewe utawajibu kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Waliopangiwa kufa kwa maradhi, watakufa kwa maradhi;waliopangiwa kufa kwa upanga, watakufa kwa upanga;waliopangiwa kufa kwa njaa, watakufa kwa njaa;na waliopangiwa kuwa mateka, watatekwa mateka.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:2 katika mazingira