Yeremia 15:4 BHN

4 Nitawafanya kuwa kitu cha kutisha kwa falme zote za dunia, kwa sababu ya mambo ambayo Manase mwana wa Hezekia, aliyafanya huko Yerusalemu, alipokuwa mfalme wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:4 katika mazingira