Yeremia 15:5 BHN

5 “Ni nani atakayewahurumia, enyi watu wa Yerusalemu?Ni nani atakayeomboleza juu yenu?Nani atasimama kuuliza habari zenu?

Kusoma sura kamili Yeremia 15

Mtazamo Yeremia 15:5 katika mazingira