6 Nyinyi mmenikataa mimi, nasema mimi Mwenyezi-Mungu;nyinyi mmeniacha mkarudi nyuma.Hivyo nimenyosha mkono kuwaangamiza,kwa kuwa nimechoka kuwahurumia.
Kusoma sura kamili Yeremia 15
Mtazamo Yeremia 15:6 katika mazingira