18 Waaibishwe wale wanaonitesa,lakini mimi usiniache niaibike.Wafedheheshwe watu hao,lakini mimi usiniache nifedheheke.Uwaletee siku ya maafa,waangamize kwa maangamizi maradufu!
Kusoma sura kamili Yeremia 17
Mtazamo Yeremia 17:18 katika mazingira