Yeremia 17:20 BHN

20 Sikieni neno la Mwenyezi-Mungu enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu ambao huingia kwa kupitia malango haya.

Kusoma sura kamili Yeremia 17

Mtazamo Yeremia 17:20 katika mazingira