Yeremia 18:20 BHN

20 Je, mtu hulipwa mabaya kwa mema?Walakini, wamenichimbia shimo.Kumbuka nilivyosimama mbele yako,nikasema mema kwa ajili yao,ili kuiepusha hasira yako mbali nao.

Kusoma sura kamili Yeremia 18

Mtazamo Yeremia 18:20 katika mazingira