24 kama pundamwitu aliyezoea jangwani.Katika tamaa yake hunusanusa upepo;nani awezaye kuizuia hamu yake?Amtakaye hana haja ya kujisumbua;wakati wake ufikapo watampata tu.
Kusoma sura kamili Yeremia 2
Mtazamo Yeremia 2:24 katika mazingira