25 Israeli, usiichakaze miguu yakowala usilikaushe koo lako.Lakini wewe wasema: ‘Hakuna tumaini lolote.Nimeipenda miungu ya kigeni,hiyo ndiyo nitakayoifuata.’
Kusoma sura kamili Yeremia 2
Mtazamo Yeremia 2:25 katika mazingira