Yeremia 2:4 BHN

4 Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Yakobo. Sikilizeni enyi jamaa zote za wazawa wa Israeli.

Kusoma sura kamili Yeremia 2

Mtazamo Yeremia 2:4 katika mazingira