Yeremia 2:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Wazee wenu waliona kosa gani kwanguhata wakanigeuka na kuniacha,wakakimbilia miungu duni,hata nao wakawa watu duni?

Kusoma sura kamili Yeremia 2

Mtazamo Yeremia 2:5 katika mazingira