Yeremia 2:7 BHN

7 Niliwaleta katika nchi yenye rutuba,muyafurahie mazao yake na mema yake mengine.Lakini mlipofika tu mliichafua nchi yangu,mkaifanya chukizo nchi niliyowapa iwe yenu.

Kusoma sura kamili Yeremia 2

Mtazamo Yeremia 2:7 katika mazingira