Yeremia 2:8 BHN

8 Nao makuhani hawakujiuliza: ‘Yuko wapi Mwenyezi-Mungu?’Wataalamu wa sheria hawakunijua,viongozi wa watu waliniasi;manabii nao walitabiri kwa jina la Baalina kuabudu sanamu zisizo na faida yoyote.”

Kusoma sura kamili Yeremia 2

Mtazamo Yeremia 2:8 katika mazingira