Yeremia 20:12 BHN

12 Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi,wewe humthibiti mtu mwadilifu,huona yaliyo moyoni na akilini mwa watu,unijalie kuona ukiwalipiza kisasi,maana kwako nimekiweka kisa changu.

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:12 katika mazingira