Yeremia 20:11 BHN

11 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu u pamoja namikwangu wewe ni kama shujaa wa kutisha;kwa hiyo watesi wangu watajikwaa,na hawataweza kunishinda.Wataaibika kupindukia,maana hawatafaulu.Fedheha yao itakuwa ya daima;kamwe haitasahaulika.

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:11 katika mazingira