Yeremia 20:10 BHN

10 Nasikia wengi wakinongona juu yangu.Wananipanga jina: “Kitisho kila upande!”Wengine wanasema:“Nendeni mkamshtaki! Na tumshtaki!”Hata rafiki zangu wote wapenzi wanangojea tu nianguke!Wanasema “Labda atadanganyika, nasi tutalipiza kisasi.”

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:10 katika mazingira