Yeremia 20:9 BHN

9 Lakini nikisema, “Sitamtaja Mwenyezi-Mungu,wala sitasema tena kwa jina lake,”moyoni mwangu huwa na kitu kama moto uwakao,uliofungiwa ndani ya mifupa yangu.Najaribu sana kuuzuia humo,lakini ninashindwa.

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:9 katika mazingira