Yeremia 20:5 BHN

5 Zaidi ya hayo, utajiri wote wa mji, mapato yake yote, vitu vyake vyote vya thamani pamoja na hazina zote za wafalme wa Yuda, nitazitia mikononi mwa maadui zao ambao watazipora na kuchukua kila kitu hadi Babuloni.

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:5 katika mazingira