Yeremia 20:6 BHN

6 Na kwa upande wako wewe Pashuri, pamoja na nyumba yako yote, mtapelekwa utumwani; hakika mtakwenda Babuloni. Huko ndiko utakakofia na kuzikwa, kadhalika na rafiki zako wote ambao uliwatabiria uongo.’”

Kusoma sura kamili Yeremia 20

Mtazamo Yeremia 20:6 katika mazingira