7 Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenidanganya,nami kweli nikadanganyika;wewe una nguvu kuliko mimi,nawe umeshinda.Kutwa nzima nimekuwa mtu wa kuchekwa,kila mtu ananidhihaki.
Kusoma sura kamili Yeremia 20
Mtazamo Yeremia 20:7 katika mazingira