Yeremia 21:9 BHN

9 Mtu atakayebaki mjini humu atauawa kwa upanga au kwa njaa au kwa maradhi mabaya. Lakini mtu atakayetoka nje ya mji na kujisalimisha kwa Wakaldayo wanaouzingira mji, ataishi; naam, atayanusurisha maisha yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 21

Mtazamo Yeremia 21:9 katika mazingira