Yeremia 22:11 BHN

11 Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Shalumu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, aliyetawala baada ya Yosia baba yake, na ambaye aliondoka mahali hapa: “Shalumu hatarudi tena mahali hapa,

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:11 katika mazingira