Yeremia 22:10 BHN

10 Msimlilie mtu aliyekufa,wala msiombolezee kifo chake.Bali mlilieni kwa uchungu yule aendaye mbali,kwa kuwa hatarudi tena kuiona nchi yake.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:10 katika mazingira