Yeremia 22:13 BHN

13 “Ole wako Yehoyakimuwewe unayejenga nyumba kwa dhulumana kuiwekea ghorofa bila kutumia haki.Unawaajiri watu wakutumikie burewala huwalipi mishahara yao.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:13 katika mazingira