Yeremia 22:20 BHN

20 Enyi watu wa Yerusalemu,pandeni Lebanoni mpige kelele,pazeni sauti zenu huko Bashani;lieni kutoka milima ya Abarimu,maana wapenzi wenu wote wameangamizwa.

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:20 katika mazingira