Yeremia 22:23 BHN

23 Enyi wakazi wote wa Lebanoni,nyinyi mkaao salama kati ya mierezi;jinsi gani mtakavyopiga kite uchungu utakapowakumba,uchungu kama wa mama anayejifungua!

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:23 katika mazingira