Yeremia 22:8 BHN

8 “Kisha watu wengi wa mataifa watapita karibu na mji huu, na kila mmoja atamwuliza mwenzake: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameutenda hivi mji huu mkubwa?’

Kusoma sura kamili Yeremia 22

Mtazamo Yeremia 22:8 katika mazingira