Yeremia 23:16 BHN

16 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Msisikilize maneno ya manabii wanaowatabiria; wanawapeni matumaini ya uongo. Wanayowaambia ni maono yao wenyewe, wala hayakutoka kwangu mimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:16 katika mazingira