Yeremia 23:17 BHN

17 Wao hawakomi kuwaambia wale wanaodharau neno langu mimi Mwenyezi-Mungu: ‘Mambo yatawaendea vema.’ Na kumwambia kila mtu afuataye kwa ukaidi fikira zake; ‘Hakuna baya lolote litakalokupata!’”

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:17 katika mazingira