Yeremia 23:18 BHN

18 Lakini, ni yupi kati ya manabii haoaliyepata kuhudhuria baraza la Mwenyezi-Mungu,hata akasikia na kuelewa neno lake?Au ni nani aliyejali neno lake,hata akapata kulitangaza?

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:18 katika mazingira