Yeremia 23:24 BHN

24 Je, mtu aweza kujificha mahali pa siri hata nisiweze kumwona? Hamjui kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nipo kila mahali, mbinguni na duniani? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Kusoma sura kamili Yeremia 23

Mtazamo Yeremia 23:24 katika mazingira